Website makeover kwa kampuni za utaliiOna promotion

SAFARIWEB • WEBSITE MAKEOVER

Safari yako ni nzuri.
Website nayo iwe.

Tunachagua kampuni moja ya utalii Tanzania kuifanyia website redesign bure. Je, ni kampuni yako?

Kwa kampuni za utalii Tanzania zenye website tayari.

Maombi ya redesign ya bure hayajafunguliwa au yamefungwa.
WEBSITE MAKEOVER
1
KAMPUNI YA UTALII.
REDESIGN BURE.
Inaweza kuwa yako.
KWASafari operatorsLodges & campsZanzibar staysKilimanjaro tours

UNAPATA NINI?

Uzuri wa safari zako.
Uonekane kwenye website.

Redesign yenye mpango wazi.
Unaiona kabla haijawa live.

Website yenye muonekano mpya

Website ya hadi kurasa 5: mwanzo, kuhusu kampuni, safari, ukurasa wa package na mawasiliano. Pamoja na muonekano wa simu, picha zako na WhatsApp.

Simu kwanzaPicha zakoWhatsAppWordPress

Rahisi kusoma. Rahisi kuulizia.

Mteja aone safari zako na ajue hatua inayofuata.

Unajifunza kuibadili.

Tunakuonyesha kubadili picha na maandishi mwenyewe.

Domain, hosting, huduma za kulipia, picha mpya na mifumo ya malipo au booking hazijajumuishwa. Hakuna malipo ya kuomba.

50%OFF

OFFER YA WEBSITE REDESIGN

Usisubiri kuchaguliwa.
Anza na punguzo.

Pata punguzo la 50% kwenye ada ya kazi ya website redesign. Utapokea bei ya kawaida, punguzo na scope iliyo wazi.

Domain, hosting na huduma za kulipia hazipunguziwi bei.

Niulizie offer ijayo

Offer haijafunguliwa au imeisha. Unaweza kuulizia itakaporudi.

4CLIENTS / MWEZI

Kazi nzuri inahitaji muda.

Tunapokea hadi 4 clients kwa mwezi. Tuulize mapema kuhusu nafasi. Nafasi yako inathibitishwa baada ya makubaliano.

Niulizie nafasi

DAKIKA CHACHE TU

Tuonyeshe
biashara yako.

Weka taarifa zako na link ya website. Hatuhitaji password yako.

  1. 01Tuma maelezo mafupi.
  2. 02Tunaangalia website yako.
  3. 03Tunawasiliana kuhusu hatua inayofuata.
Soma masharti kabla ya kuomba ↓

Hakuna password. Hakuna malipo ya kuomba.

KILA KITU KIWE WAZI

Masharti mafupi.

Nani anaweza kuomba?+

Kampuni za utalii na travel zinazofanya kazi Tanzania, zenye website hai na mwenye mamlaka ya kuomba redesign. Ombi moja kwa kampuni. Hakuna ada ya kuomba.

Kampuni inachaguliwaje?+

Tutapitia website, hitaji la redesign na utayari wa kampuni kutoa picha na maelezo. Tutachagua kampuni moja inayofaa zaidi. Si droo ya bahati nasibu.

Tarehe na tangazo la mshindi+

Tarehe za maombi zitatangazwa hapa kabla ya campaign kufunguliwa. Tutawasiliana moja kwa moja. Jina la kampuni litatangazwa kwa ruhusa yake.

Nini hakijajumuishwa?+

Domain, hosting, huduma za kulipia, picha mpya na mifumo ya malipo au booking hazijajumuishwa. Hakuna malipo ya kuomba. Kazi zaidi ya scope inahitaji makubaliano mapya. Zawadi haiwezi kubadilishwa kuwa pesa.

Punguzo la 50% linafanyaje kazi?+

Punguzo ni nusu ya ada ya kawaida ya kazi ya redesign kwa scope ileile. Utapokea quotation inayoonyesha bei zote mbili. Hakuna bei ya kubuni au gharama zilizofichwa. Halichanganywi na redesign ya bure. Nafasi zinategemea uwezo wa mwezi huo.

Website yangu haina picha zote+

Kampuni iliyochaguliwa inatoa picha zenye ruhusa, logo na maelezo sahihi. Tunakubaliana muda, scope na marekebisho kabla ya kazi kuanza. Usitume passwords kwenye form.

Promotion inaendeshwa na SafariWeb. Instagram haiidhamini, haiendeshi wala kuisimamia. Taarifa unazotuma zinatumiwa kushughulikia ombi lako.

FARAGHA YAKO

Taarifa zako ni muhimu.

Tunatumia jina, namba na taarifa ulizotuma kujibu ombi lako. Hatutakuongeza kwenye matangazo bila ruhusa. Unaweza kuomba taarifa zako zifutwe kupitia WhatsApp yetu.

Taarifa za form zinahifadhiwa kwenye website yetu ili team iweze kujibu. Hatuhitaji password, passport au taarifa za malipo.

Ukichagua speed check, link yako hutumwa Google. Ukifungua WhatsApp, sera za WhatsApp zinatumika. Tunatumia kinga ya spam; ikiwa imewashwa, Cloudflare Turnstile huchakata taarifa za browser.

Tunahifadhi maombi kwa hadi 180 siku, kisha hupangwa kufutwa. Backups zina ratiba tofauti. Unaweza kuomba yafutwe mapema.

Ombi la kutokutumiwa matangazo au kufuta taarifa: Tuandikie WhatsApp.

SILVER SERENGETI

Sample inaandaliwa.

Tunaandaa mfano wenye safari, packages na sehemu za kulala. Hii ni concept yetu, si kazi ya mteja.

Niambie ikiwa tayari
Check ya bureTuongee WhatsApp