Website makeover kwa kampuni za utaliiOna promotion

KWA BIASHARA ZA UTALII TANZANIA

Safari nzuri.
Website bora.

Una safari nzuri. Tuonyeshe uzuri wake online. Tunatengeneza websites zinazomsaidia mteja kuona, kuelewa na kukuulizia safari.

Una website tayari? Tunaiboresha. Huna? Tunaanza pamoja.

01 Utalii tu.02 Simu kwanza.03 Rahisi kutumia.
Mtaalamu wa biashara ya utalii na mfano wa website kwenye laptop
TANZANIA, TUKO PAMOJA.
Safari inaanza na swali.Mrahisishie mteja kukuulizia.
Wewe panga safari. Sisi tujenge website.
TUNAJENGA KWASafari operatorsLodges & campsZanzibar staysKilimanjaro tours

WEBSITE YAKO, KAZI YAKE NI KUKUSAIDIA

Mteja aone uzuri wako.
Aweze kukuulizia.

Tuanze na biashara yako
01

Website mpya

Huna website? Tuweke safari, picha na maelezo yako sehemu moja nzuri.

Hii inanifaa
02

Website redesign

Website imepitwa na wakati? Tuifanye iwe safi, rahisi na nzuri kwenye simu.

Hii inanifaa
03

Njia rahisi ya kuulizia

Mteja aone package, achague anachotaka na akutumie ujumbe kwa urahisi.

Hii inanifaa
Nzuri kwenye simuUnabadilisha picha mwenyeweSafari zako zinaonekana vizuriWhatsApp iko karibu

WAZO MOJA. UWEZEKANO MKUBWA.

Biashara yako.
Muonekano mpya.

Safari za Serengeti, sehemu za kulala na packages. Huu ni mfano wa jinsi biashara yako inaweza kuonekana online.

Safari & packagesSehemu za kulalaTrip request

Mfano wa design yetu. Si ushuhuda wa mteja.

Silver Serengeti / concept
SILVER
SERENGETI
Journeys   ·   StaysPlan your safari ↗
Mandhari ya safari kutoka kwenye picha ya SafariWeb
TANZANIA, AT YOUR PACE

Closer to the wild.
Closer to yourself.

Explore the journeys ↗
01 / EXPLORESerengeti safaris
02 / STAYSleep in the wild
03 / YOUR WAYYour own journey
Silver SerengetiCONCEPT • SAMPLE INAANDALIWA

ANZA HAPA • BURE

Website yako iko aje?

Anza na check ndogo ya bure. Utaona pa kuanzia.

02 / SPEED KWENYE SIMU

Pima speed ya website

Weka link ya website yako. Angalia inavyofanya kazi kwenye simu.

Matokeo kutoka Google PageSpeed.
03 / MAONI YA MTU

Tuiangalie pamoja

Tuma website yako. Tutakueleza mambo ya kuboresha kwa lugha rahisi.

Niangalizie website Huna website? Pia tunaweza kuanza.

HATUA CHACHE. MPANGO WAZI.

Kutoka wazo hadi website.

Hakuna mambo magumu.
Tunaenda pamoja, hatua kwa hatua.

01

Tuambie kuhusu biashara

Tunaelewa safari zako na wateja unaowataka.

02

Ona mpango na bei

Unajua tutafanya nini, gharama na muda kabla hatujaanza.

03

Tujenge. Wewe upitie.

Unaona website kwanza. Tunarekebisha tuliyokubaliana.

04

Website iwe live

Tunaiweka online na kukuonyesha kubadili picha na maelezo.

1KAMPUNI

WEBSITE MAKEOVER

Website redesign.
Inaweza kuwa bure.

Ona nafasi ya redesign ya bure na offer ya 50% off.

Ona promotion

Tunapokea hadi 4 clients kwa mwezi.

UNAJIULIZA?

Maswali machache.
Majibu ya wazi.

Una swali lingine? Tuandikie
Sina website. Mnaweza kunisaidia?

Ndiyo. Tunaanza na biashara yako, safari unazouza na picha ulizonazo. Kisha tunapanga website pamoja.

Nitaweza kubadili picha mwenyewe?

Ndiyo. Tutakuonyesha sehemu ya kubadili picha, maandishi na taarifa zako kwenye WordPress.

Bei ni kiasi gani?

Bei inategemea kurasa na kazi unazohitaji. Tunaweka scope na bei wazi kabla ya kuanza. Hosting na huduma za kulipia huonyeshwa tofauti.

Website itachukua muda gani?

Tutakupa muda baada ya kuona kazi na kupata picha na maelezo yako. Unapata mpango kabla hatujaanza.

Booking na malipo vinaweza kuwepo?

Ndiyo. Tuambie unavyopokea bookings. Tutakushauri njia inayofaa. Mfumo wa malipo au booking unaweza kuwa na gharama zake.

Mnahakikisha nitapata bookings zaidi?

Hatuahidi idadi ya bookings. Tunaboresha jinsi wateja wanavyoona safari zako na wanavyoweza kukufikia.

TUANZE NA MAZUNGUMZO

Safari yako inayofuata?
Website bora.

Tuambie kidogo kuhusu biashara yako. Tuanze na mazungumzo rahisi.

Au tuandikie moja kwa mojaWhatsApp · +255613159419
4

clients kwa mwezi.
Ili kila website ipate muda wake.

Hakuna password. Hakuna malipo ya kuomba.

CHECK YA DAKIKA MOJA

Mteja anakupata kirahisi?

Chagua mambo ambayo tayari yapo kwenye website yako.

Hii ni self-check kutokana na majibu yako. Haifanyi scan ya website wala kutoa SEO score.

GOOGLE • MOBILE SPEED

Website yako inafunguka aje?

Fungua Google PageSpeed, weka link yako na uchague Mobile. Kisha tutumie matokeo tuyapitie pamoja.

Fungua Google PageSpeed ↗

FARAGHA YAKO

Taarifa zako ni muhimu.

Tunatumia jina, namba na taarifa ulizotuma kujibu ombi lako. Hatutakuongeza kwenye matangazo bila ruhusa. Unaweza kuomba taarifa zako zifutwe kupitia WhatsApp yetu.

Taarifa za form zinahifadhiwa kwenye website yetu ili team iweze kujibu. Hatuhitaji password, passport au taarifa za malipo.

Ukichagua speed check, link yako hutumwa Google. Ukifungua WhatsApp, sera za WhatsApp zinatumika. Tunatumia kinga ya spam; ikiwa imewashwa, Cloudflare Turnstile huchakata taarifa za browser.

Tunahifadhi maombi kwa hadi 180 siku, kisha hupangwa kufutwa. Backups zina ratiba tofauti. Unaweza kuomba yafutwe mapema.

Ombi la kutokutumiwa matangazo au kufuta taarifa: Tuandikie WhatsApp.

SILVER SERENGETI

Sample inaandaliwa.

Tunaandaa mfano wenye safari, packages na sehemu za kulala. Hii ni concept yetu, si kazi ya mteja.

Niambie ikiwa tayari
Check ya bureTuongee WhatsApp