OfferWebsite CheckFeaturesBeiMaswaliOnboarding Book Meeting
Ongea nasi WhatsApp 0613159419
Onboarding

Tuambie kuhusu kampuni yako

Hatua tisa, kama dakika kumi. Mengi ni kuchagua tu.

1Kampuni2Website3Wageni4Trips5Features6Muonekano7Material8Mawasiliano9Angalia
Hatua 1 kati ya 9

Kampuni yako

Tuanze na msingi. Hii inatusaidia kujua tunajenga kwa ajili ya nani.

Mnafanya nini hasa?Chagua kinachokuelezea zaidi.
Hatua 2 kati ya 9

Website yako ya sasa

Kama unayo, tunachukua content kutoka humo — huna haja ya kuandika tena.

Una website sasa hivi?
Acha wazi kama huna. Hii ndiyo tunayoifanyia redesign ya bure.
Nini kinakuudhi zaidi kwenye website ya sasa?Chagua zote zinazokuhusu.
Hatua 3 kati ya 9

Wageni wako ni nani?

Hii inatuambia lugha za kuweka na jinsi ya kupanga booking.

Wanatoka wapi zaidi?Chagua zote zinazokuhusu.
Website ihitaji lugha zipi?Zote zimo kwenye bei.
Unapokea inquiries ngapi kwa mwezi?Makadirio tu.
Hatua 4 kati ya 9

Unauza nini?

Hakuna kikomo cha pages. Hii ni ili tujue jinsi ya kuzipanga.

Unauza huduma zipi?Chagua zote.
Una tours ngapi kwenye orodha yako?Idadi ya tours tofauti unazouza — siyo mara ngapi zinaenda.
Unaendesha tours ngapi, na kwa kipindi gani?Hii ni tofauti na swali la juu: hapa tunauliza mara ngapi tours zinaenda. Chagua idadi, halafu chagua kama ni kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi.
Idadi ya tours
Kwa kipindi gani
Mfano: day tours za Arusha mara nyingi ni 3 – 5 kwa siku, wakati safari za siku saba ni 1 – 2 kwa wiki. Tunatumia jibu hili kupanga availability calendar, siyo kuweka kikomo cha booking.
Bei zionyeshwe vipi?
Unapokea malipo vipi?Chagua zote unazotaka kwenye website.
Hatua 5 kati ya 9

Features zipi ni muhimu zaidi?

Zote zimo kwenye TZS 925,000. Chagua tunazoanza nazo.

Chagua zinazokuhusu
Una system nyingine tunayotakiwa kuunganisha?
Hatua 6 kati ya 9

Website ijisikieje?

Hakuna jibu baya. Tutaongea zaidi kwenye call.

Chagua hisia inayokaribiana na brand yako
Una logo?
Rangi za brand yakoChagua zinazokaribiana, au acha tuchague.
Ya mtu yeyote, hata nje ya utalii. Si lazima.
Hatua 7 kati ya 9

Material uliyonayo

Usijali kama huna yote. Tutakuambia kinachokosekana.

Picha zako ziko vipi?
Pakia material yakoChagua files unazopanga kututumia. Form hii inahifadhi idadi tu; tuma files zenyewe kwa WhatsApp baada ya kutuma majibu.
    Rahisi zaidi kama una picha nyingi.
    Maandishi yako yako vipi?
    Hatua 8 kati ya 9

    Tukupate wapi?

    Hatua ya mwisho ya maswali. Baada ya hapa utaangalia majibu yako kabla ya kutuma.

    Tukupigie saa ngapi?
    Unataka kuwa live lini?
    Si lazima.
    Hatua 9 kati ya 9

    Angalia kabla ya kutuma

    Kama kitu si sahihi, rudi nyuma ukirekebishe. Button ya kutuma inawaka pale tu kila swali la lazima limejibiwa.

    Asante! Tumeipata.

    Tutaangalia majibu yako na kukupigia ndani ya masaa 24. Redesign ya homepage yako inaanza mara moja. Unaweza kufungua WhatsApp kututumia summary yako.

    Hatua 1 kati ya 9

    Hutaki kujaza form? Tuandikie WhatsApp badala yake

    Piga simu Check ya bure